Nitafuata njia yangu,
Nitaenda mjini,
Nitaenda huku na huku, nitulie,
Nipe kinywaji poa.
Sihitaji ulinzi,
Ili niishi,
Ninatembea juu ya maji,
Ni kwa sababu ya kiburi.
Unaninyanyua,
Unanibwaga chini,
Mbona kusitasita
huku na huku.
Unaninyanyua juu,
Unanibembeleza,
Sasa mimi n'naishi
Katika Nchi Kame.